Marko 4:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akawaambia tena, “Je, mtu anapowasha taa, huifunika kwa bakuli au kuiweka mvunguni? Si anaiweka mahali pa wazi?