Marko 3:28

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Nawaambieni kweli, dhambi zote watendazo wanadamu na maneno yote ya kufuru wasemayo, watasamehewa.