Marko 3:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akarudi nyumbani. Umati wa watu ukamfuata tena, hata yeye na wanafunzi wake wakashindwa kula chakula.