Marko 3:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu aliingia tena katika sinagogi na mtu mmoja aliyelemaa mkono alikuwapo pia.