Marko 2:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akaenda tena kando kando ya Ziwa la Galilaya. Umati wa watu ukamfuata naye akaanza kuwafundisha.