Marko 15:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakampiga kwa fimbo kichwani, wakamte mea mate. Wakamdhihaki kwa kupiga magoti kama vile wanamheshimu mfalme.