Marko 15:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Alikuwa ana fahamu kwamba wakuu wa makuhani walikuwa wanamwonea Yesu wivu ndio sababu wakamshtaki kwake.