Marko 14:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Yesu akawaambia, “Kwa nini mnamnyanyasa? Mwacheni! Amenitendea jambo zuri na jema.