Marko 14:37

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akarudi, akakuta wame lala. Akamwambia Petro, “Simoni, umelala? Hukuweza kukesha hata kwa saa moja?