Marko 14:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walipokuwa wakila, Yesu akachukua mkate, akashukuru , akaumega akawapa wanafunzi wake akisema, “Pokeeni, huu ni mwili wangu.”