Marko 14:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walipokuwa mezani wakila, akawaambia, “Ninawaam bia hakika, mmoja wenu anayekula pamoja nami, atanisaliti.”