Marko 14:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wale wanafunzi walikwenda mjini wakakuta kila kitu kama alivyowaambia; wakaandaa chakula cha Pasaka.