Marko 13:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na mkisikia habari za vita na uvumi juu ya vita, msishtuke. Mambo haya hayana budi kutokea, lakini mwisho utakuwa bado.