Marko 13:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Mtakapoona ile ‘sanamu ya chukizo’ imesimama mahali isipostahili - msomaji na aelewe maana yake -basi wale walioko Yudea wakimbilie milimani.