Marko 12:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mnadhani yule mwenye shamba atafanya nini? Atakuja, awaue hao wakulima kisha alikodishe shamba lake kwa wak ulima wengine.