Marko 12:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akawajibu, “Mmekosea kabisa kwa maana hamfahamu Maandiko wala uweza wa Mungu.”