Marko 12:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa kifupi, ndugu wote saba walimwoa huyo mjane lakini wote hawakuzaa naye. Hatimaye yule mama naye akafariki.