Marko 12:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sasa walikuwapo ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa akafariki pasipo kupata mtoto.