Luka 8:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Mkulima mmoja alikwenda shambani kwake kupanda mbegu. Alipokuwa akitawa nya mbegu, nyingine zilianguka njiani zikakanyagwa kanyagwa; na ndege wakazila.