Luka 8:41

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakati huo akaja mtu mmoja jina lake Yairo, kiongozi wa sinagogi. Akapiga magoti mbele ya Yesu akamwomba afike nyumbani kwake,