Luka 8:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Rudi nyumbani ukawaeleze mambo makuu aliyokufanyia Mungu.” Kwa hiyo yule mtu akaenda, akatangaza mji mzima mambo makuu Yesu aliyomfanyia.

Yesu Amfufua Binti Wa Yairo