Luka 8:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watu waliokuwa wakichunga lile kundi la nguruwe waliona yaliyotokea, wakakimbia wakaeneza habari hizi mjini na mashambani.