Luka 8:25

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha akawauliza, “Imani yenu iko wapi?” Wakashangaa na kuogopa. Wakaulizana, “Ni mtu wa namna gani huyu ambaye anaamuru upepo na mawimbi navyo vikamtii?”

Yesu Amponya Mtu Mwenye Pepo