Luka 8:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakati mmoja mama yake Yesu na ndugu zake walikuja kum wona lakini hawakuweza kumfikia kwa sababu ya msongamano wa watu.