Luka 8:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hakuna siri ambayo haitafichuliwa, wala hakuna jambo lililo fichika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi.