Luka 7:46

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hukunipaka mafuta kichwani kama ilivyo desturi lakini huyu mwanamke ameipaka miguu yangu manukato.