Luka 7:45

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hukunisalimu kwa busu, lakini huyu mwanamke amekuwa akiibusu miguu yangu tangu niingie hapa.