Luka 24:38

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini akawauliza, “Kwa nini mnaogopa? Kwa nini mna mashaka mioyoni mwenu?