Luka 24:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini wakamsihi akae nao wakisema, “Kaa hapa nasi kwa maana sasa ni jioni na usiku unain gia.” Basi akaingia ndani kukaa nao.