Luka 24:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Bali Petro akaondoka mbio, akaenda kaburini. Alipoinama, akaiona ile sanda, ila hakuona kitu kingine zaidi. Akarudi nyumbani akis taajabia yaliyotokea.

Yesu Awatokea Wanafunzi Wawili