Luka 24:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hao wanawake walikuwa ni Mariamu Magdalene, Yoana na Mariamu mama yake Yakobo pamoja na wengine waliofuatana nao.