Luka 23:40

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule mhalifu mwingine akamkemea mwenzake, akisema, “Wewe humwogopi hata Mungu! Wote tumehukumiwa adhabu sawa.