Luka 23:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Herode na maaskari wake wakamkashifu Yesu na kumzomea. Wakamvika vazi la kifahari, wakamrudisha kwa Pilato.