Luka 22:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akawatuma Petro na Yohana, akawaagiza, “Nendeni mkatuandalie chakula cha Pasaka.”