Luka 22:44

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na alipokuwa katika uchungu mkubwa, akaomba kwa bidii zaidi na jasho lake likawa kama matone ya damu ikidondoka ardhini.]