Luka 22:36

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akawaambia, “Lakini sasa, aliye na mfuko au mkoba auchukue. Asiye na upanga, auze koti lake anunue upanga.