Luka 22:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakaenda wakakuta kila kitu kama Yesu alivyokuwa amewaam bia. Kwa hiyo wakaandaa chakula cha Pasaka.