Luka 21:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na mtakaposikia habari za vita na machafuko, msiogope, kwa maana hayo ni lazima yatokee kwanza, ila mwisho hautatokea wakati huo.”