Luka 21:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakamwuliza, “Mwalimu, mambo haya yatatokea lini na ni dalili gani zitaonyesha kwamba yanakari bia?”