Luka 21:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana hao wengine wametoa sehemu ndogo tu ya utajiri wao, lakini yeye, ingawa ni maskini, ametoa vyote alivyokuwa navyo.”

Dalili Za Siku Za Mwisho