Luka 21:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wengine watauawa kwa silaha na wengine watachukuliwa mateka na kupelekwa nchi mbalim bali. Na Yerusalemu itamilikiwa na watu wa mataifa mengine mpaka muda wa mataifa hayo utakapokwisha.”

Kuja Kwa Mwana Wa Adamu