Luka 21:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana nitawapa maneno na hekima ambayo maadui zenu hawa taweza kukataa au kupinga.