Luka 19:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha akaja mtumishi mwingine akasema, ‘Bwana hii hapa fedha yako. Niliitunza vizuri kwenye kitambaa.