Luka 15:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na akisha kuipata atawaita marafiki zake na majirani na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami; nimeipata ile shilingi yangu iliyopotea!’