Luka 15:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Au tuseme mwanamke ana shilingi kumi halafu apoteze moja. Si atawasha taa afagie nyumba na kutafuta kwa uangalifu mpaka aipate?