Luka 12:47

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na mtumishi ambaye anafahamu mapenzi ya bwana wake na asijiandae wala kufanya kama apendavyo bwana wake, pia ataad hibiwa vikali.