Luka 12:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Fahamuni kwamba kama mwenye nyumba angalijua ni saa ngapi mwizi atakuja, angalijiandaa asiiachie nyumba yake ivunjwe.