Luka 12:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wala msihangaike mtakula nini au mtakunywa nini. Msiwe na wasiwasi juu ya haya.