Luka 12:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na mtu mmoja katika umati akasema, “Bwana, mwambie ndugu yangu anigawie urithi aliotuachia baba yetu.”