Luka 11:33

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Hakuna mtu awashaye taa akaificha au kuifunika, ila huiweka mahali pa juu ili watu wote wanaoingia waone nuru yake.